Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Man United inaonekana kuamka inapomualika mpinzani City.

04/11/2021 16:15:05
Manchester United itafufua uhasama wake na mpinzani wake wa jadi Mnchester city katika mechi ya ligi ugani Old Trafford Jumamosi hii.

Mbio za Langalanga mkondo wa Mexico 2021 kuanza

04/11/2021 16:00:52
Mbio za magari ya langalanga za Mexico 2021 zitaandaliwa Mexico City ambayo ndiyo makao makuu na mji mkubwa wa Mexico Novemba 7.
 

Real kumenyana na Vallecano katika debi ya Madrid.

03/11/2021 14:27:40
Novemba 6 Real Madrid wataialika Real Vallecano Estadio Santiago Bernabeu katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania.

Juventus kutoana kijasho na Fiorentina

03/11/2021 13:49:34
Juventus FC watakuwa wenyeji wa ACF Fiorentina katika mchezo wa ligi kuu ya Italia mnamo tarehe 6 Novemba ugani Allianz Stadium.

Atalanta wanuia kulipiza kisasi kwa United

02/11/2021 16:15:15
Baada ya kupata kichapo Old Trafford, Atalanta itakuwa na uchu wa kulipiza kisasi kwa Manchester United Novemba 2 katika mchezo wa mabingwa wa kundi F.

Verona wapania kuwatia machungu zaidi Juventus

29/10/2021 09:28:12
Oktoba 30 Hellas Verona itawaalika Juventus uga wa nyumbani Stadio Marc’Antonio Bentegodi katika mchezo wa ligi kuu ya Serie A, Italia.