Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
19/10/2021 11:34:00
FC Barcelona watafufua uhasama wao na Real Madrid watakapo kutana kwenye mechi ya ligi ugani Camp Nou Oktoba 24.
18/10/2021 10:49:24
Oktoba 19 kutakuwa na mechi ya ligi ya mabingwa ulaya Atletico Madrid watakapoialika Liverpool katika mechi ya kundi
14/10/2021 18:03:16
The Atlanta Hawks wamejipanga vizuri kukabiliana vikali na timu ya Miami Heat wakati timu hizo mbili zitakutana kwenye mechi ya kujiandaa kwa msimu wa NBA wa mwaka 2021/2022. Mchezo huo utachezewa ugani State Farm Arena ulioko Atlanta Georgia Ijumaa Oktoba 15 2021 asubuhi saa kumi za afrika ya kati.
13/10/2021 15:07:26
Baada ya kukosa ushindi kwenye mechi kadhaa zilizopita za ligi kuu Uingereza msimu huu, Leicester City na Manchester United wanapania kupata ushindi kila mmoja watakapo kutana katika uwanja wa King Power stadium jumamosi hii.
13/10/2021 14:07:57
Jason Kokrak atanuia kuandikisha historia atakapoanza kutetea taji la kombe la CJ linalotazamiwa kung’oa nanga wiki hii.
12/10/2021 14:44:37
Klabu ya Real Madrid itachuana na Athletic Bilbao katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabeu mnamo tarehe kumi na saba mwezi oktoba katika mechi ya ligi, La liga.