Win Boost: Mechi zaidi, Mkwanja zaidi.


Kwanini uchukua malipo kidogo kwenye Multi Bet yako, Betway tumeliona hilo, sasa tumekuja na Win Boost kwa kila mechi unayoongeza, mkwanja unaongezeka.
 
Betway Boost ongeza mkwanja wa Multi Bet yako hadi 700%. Kwa kila mechi yenye odds 1.2 au zaidi utakayoongeza kwenye Multi Bet yako, tutaongeza ushindi wako. Mechi zaidi, mkwanja zaidi.
 
Vuta mkwanja na Betway Boost, ni rahisi tu weka mechi 2 au zaidi na odds 1.2 kwa mechi kwenye mkeka wako na upate nyongeza hadi 700%.
 
Idadi ya Mechi Asilimia ya Win Boost
2 – 10 3% - 50%
11 – 20 60% - 155%
21 – 30 165% - 300%
31 – 40 330% - 700%

Ni wakati wako kushinda zaidi kwani Betway inakuongeza mkwanja kuanzia mechi 2, kwanini uchukua malipo kidogo wakati tunakubusti hadi 700%.
 
Promosheni hii ni kwa bashiri za pesa tasimu pekee na malipo yaliyoongezwa yatalipwa kama pesa taslimu kwenye akaunti yako.
 

Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

 

Published: 05/20/2024