Daka Ofa yako ya Ukaribisho ya Betway leo.


Ingia kwenye Ulimwengu wa kubashiri michezo uipendayo na Betway, ukifungua akaunti mpya leo. Anza safari kubashiri na Free Bet hadi TSh 10,000 ukiweka pesa kwa mara ya kwanza.
 
Ni rahisi tu! Jisajili na weka pesa kwa mara ya kwanza kwa kutumia njia zetu salama. Kisha, bashiri X3 sawa na kiasi ulichoweka kwa odds 3 au zaidi. Baada ya kukamilisha vigezo na masharti, Free Bet itawekwa kwenye akaunti yako.
 
Unaweza kutumia Free Bet kubashiri kwenye mchezo wowote ikiwemo:
 
  • Soka
  • Mpira wa Kikapu
  • Tenisi
  • Ice Hockey
  • Rugby
  • Cycling
  • Motorsport
 

JInsi ya kupata Ofa ya Ukaribisho

 
  1. Fungua Akunti Mpya
  2. Weka pesa kwa mara ya kwanza
  3. Weka ubashiri X3 sawa na kiasi ulichoweka kwa odds 3 au zaidi.
  4. Free Bet itawekwa kwenye akaunti yako
 
Baada ya kutumiza vigezo vya ubashiri, inaweza kuchukua hadi masaa 24 kwa Free Bet yako kuwekwa.
 

Kwanini Ubashiri na Betway?

 
Betway ina tovuti rahisi kutumia kwajili yako kuweka ubashiri. Kwa kubofya kitufe tu utakuwa imeingia mazima kwenye burudani isiyo na kikomo.
 
Pia utaweza kushiriki ofa zetu zinazoendelea, unaweza kujishindia zawadi bab-kubwa kama vile Free Bet, Pesa taslimu, Safari za kutazama timu yako uipendayo, na nyingine nyingi.
 
Baada ya kufungua akaunti, unaweza kuchagua kubashiri mchezo wowote unaopenda. Chagua kati ya Single au Multi Bet, kwani nguvu ipo kiganjani mwako.
 
Weka ubashiri wakati mechi ikiendelea kwa kutumia kipengele Live Betting, ambacho kinakupa nafasi ya kubashiri kila tukio wakati mechi inapigwa. Machaguo yako pendwa ya kubashiri yanapatikana wakati mechi ikiendelea.
 

Promosheni za Betway

 

Win Boost

 
Pata pesa zaidi na Multi Bet kwenye promosheni yetu ya Win Boost. Ongeza ushindi wa Multi Bet hadi 100% ongeza michezo 5+ kwenye mkeka wako ili kufuzu. Kadri unavyoongeza mechi, ndio pesa yako inavyoongezeka.
 

Cashout
 

Chukua udhibiti kamili wa mkeka wao na promosheni yetu ya Cashout. Promosheni hii inakupa nafasi ya kuchukua pesa yako kabla ya mechi kumalizika, ina maana unachukua pesa yako kabla mchezo haujamalizika.
 

Contact us


Ikiwa unahitaji msaada, tafadhali wasiliana na Huduma kwa Wateja inapatikana 24/7.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway

Published: 08/20/2023