Villarreal wapania kuibwaga Man United kwa mara ya tatu


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 UEFA Champions League 

Group F 

Villarreal CF v Manchester United 

Gewiss Stadium
Bergamo, Italy   
Tuesday, 23 November 2021
Kick-Off 20h45 
 
Villarreal CF watamenyana na Manchester United katika mechi ya ligi ya mabingwa kundi F, mnamo Novemba 23. 
 
Kwenye mechi yao ya mwisho ya mashindano haya, Timu hii kutoka Uhispania ilipata ushindi mwembamba wa 1-0 wakiwa nyumbani dhidi ya mabingwa wa Uswizi, Young Boys, katika mechi iliyochezwa Novemba 2. 
 
Villarreal hawajapoteza mchezo wa UEFA kati ya miwili ya mwisho waliyoshiriki, huku wakishinda mechi zote mbili. 

Yeremi Pino
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Vile vile, hawajapoteza mechi ya UEFA wakiwa nyumbani katika mechi mbili zilizopita. Wameshinda mechi moja na kulazimisha sare moja. 
 
Kwingineko, United walitoka nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Atalanta walipokutana Novemba 2 katika mechi ya kundi F. 
 
Kwa mantiki hiyo, miamba hao kutoka England kwa sasa hawajapoteza mechi yoyote kati ya tatu za mwisho za UEFA huku wakiambulia ushindi mara mbili mfululizo na sare moja. 
 
Hata hivyo, United wamekuwa na matokeo mabaya ugenini katika mechi hizi baaba ya kuandikisha sare moja na kushindwa mara tatu mfululizo. 

Ole Gunnar Solskjaer
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
“Vijana wangu wanajituma zaidi. Hawakati tamaa. Bidii yao ni wazi. Katika mchezo wa soka, matokeo yoyote yanawezekana,” alisema meneja wa United Ole Gunner Solskjael baada ya sare hiyo na Atalanta. 
 
"Tulifanya mabadaliko na mchezo wetu ukaimarika. Goli lilitokana na ushirikiano mzuri wa wachezaji. Takriban pasi sita nzuri na ndipo bao lilizaliwa. 
 
“Wakati wowote nia katika mchezo ni kupata ushindi bila kuruhusu kufungwa. Maoni yangu, moja ya goli lao halikuwa hali. Walitumia nguvu nyingi na mashabiki wao walishangilia sana. Ilikuwa vigumu kuidhibiti timu hiyo.” 
 
Villarreal na United walikutana katika mechi hizi mara ya mwisho Novemba 25 2008. 
 
Mechi hiyo ya kundi E ilimalizika 0-0 ugani Estadio de la CerĂ¡mica Villarreal wakiwa wenyeji. 
 

Takwimu za motokeo baina ya timu hizi katika mashindano ya UEFA

 
Mechi - 5
Villarreal - 0
United - 1
Sare - 4


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 11/22/2021