Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
15/04/2025 09:38:37
YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya kwenye kikosi cha Kenya Police FC.
11/04/2025 09:12:34
Zimbwe JR amefichua kuwa mafanikio hayo hayakutokea kwa bahati nasibu. Anaeleza kuwa kila kitu kilianza tangu mechi ya kwanza walipowasili nchini Misri, ambapo walifanya
10/04/2025 10:32:13
Simba mapema imepata tiketi ya kufuzu nusu Fainali ya mashindano hayo baada ya kuiondoa Al Masry ya Misri kwa matuta 4-1 baada ya timu hizo kumaliza mchezo kwa ushindi
31/03/2025 15:51:11
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa ni 11 ili kufanikisha malengo
31/03/2025 15:48:02
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9 2025 ambapo mshindi wa jumla kwenye mchezo huo atakata tiketi kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
24/03/2025 15:38:35
MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi itapangwa, mtapigiwa simu moja tu kutoka juu na mtacheza, lakini wasichojua ni kwamba Wananchi hawatanii na wamejipanga kwa vita mpya, wakikubali kutumia Sh121 milioni kuitafuta haki FIFA.