Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
05/08/2021 09:20:23
Mwendeshaji Pikipiki wa timu ya Monster Energy Yamaha Fabio Quartararo anatazamia kuendelea kuongoza Mashindano ya Dunia ya mbio za pikipiki
05/08/2021 09:13:02
Mbio za wanaume za 4x100m kupokezana vijiti zinatarajiwa kuwa kivutio kikubwa kwenye michezo wa Olimpiki mjini Tokyo, lakini imekuwa vigumu kubashiri nani wataibuka mabingwa.
04/08/2021 11:40:11
Mwanariadha wa Burkina Faso Fabrice Zango anatarajiwa kushiriki hatua ya mchujo kuruka umbali mara tatu (Triple Jump) kwenye michezo ya Olimpiki inayoendelea nchini Japan, Agosti 3.