Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
19/08/2021 14:23:56
Bondia Manny Pacquiao atakuwa anafuata ushindi wa mara ya nne mtawalia atakapopigana na Yordenis Ugas pigano la ubingwa wa dunia wa WBA (Super) Welterweight katika ukumbi wa T-Mobile mjini Las Vegas, Marekani, Jumapili tarehe 22 Agosti 2021.
17/08/2021 11:52:44
Manchester United wanatazamia kuendeleza mwanzo wao mzuri wa msimu wa 2021/22 wa Ligi kuu ya England watakapokutana na Southampton Jumapili.
13/08/2021 11:04:31
Mashindano ya mbio za pikipiki ya Austrian MotoGP ambayo pia yanajulikana kama Bitci Motorrad Grand Prix von Österreich yatafanyika katika mji wa Spielberg, Austria Agosti 15.
11/08/2021 10:54:57
Celta Vigo itapepetana na Atletico Madrid kwenye Ligi kuu ya Uhispania katika uwanja wa Abanca-Balaídos Agosti 15.
11/08/2021 09:16:37
Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 ilimalizika mwishoni mwa wiki, ikahitimisha majuma mawili ya michuano kwenye michezo mbali mbali katika mji mkuu wa Japan
10/08/2021 09:39:09
Manchester United na Leeds zitarejelea upya uhasama baina yao timu hizo zitakapokutana katika mechi ya ufunguzi wa msimu wa 2021/22 ligi kuu ya England Jumamosi hii.