Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Quartararo amulika ushindi mwingine katika Aragon MotoGP

10/09/2021 11:52:23
Mwendeshaji wa timu ya Yamaha Fabian Quartararo atakuwa anatazamia kushinda kwa mara ya pili mfululizo atakaposhiriki mashindano ya mbio za pikipiki ya Aragon MotoGP.
 

Verstappen apania kuendelea kuongoza Monza

09/09/2021 15:30:14

Max Verstappen anatazamia kuendelea kukaa kileleni katika mashindano ya mbio za magari ya Formula 1 Ubingwa wa Dunia, kwenye mkondo wa 14 wa mashindano hayo yatakayofanyika katika mzunguko wa the Autodromo Nazionale di Monza jumapili tarehe 12 Septemba alasiri.

Napoli, Juventus mtanange mkubwa wa Serie A

08/09/2021 14:57:42
SSC Napoli itamenyana na Juventus FC mechi ya ligi kuu ya Italia katika uwanja wa Diego Armando Maradona tarehe 11 Septemba.

Mwanzo wa marejeo ya Christiano Ronaldo

08/09/2021 10:54:18
Cristiano Ronaldo atakuwa kivutio kikubwa zaidi Jumamosi hii katika uwanja wa Old Trafford atakapoicheza Manchester United mechi yake ya kwanza tangu kujiunga tena na klabu hiyo, watakapowakarabisha Newcastle ligi kuu ya England.
 

Sevilla yalenga kuiokomesha Barcelona

08/09/2021 07:07:32
Sevilla FC itakutana na FC Barcelona kwenye ligi kuu ya Uhispania katika uwanja wa Estadio Ramón Sánchez Pizjuán jumamosi Septemba 11. 

Verstappen apania ushindi anaporejea Dutch GP

02/09/2021 07:28:29
Dereva wa Red Bull Racing-Honda Max Verstappen atakuwa anapania ushindi atakaposhiriki kwenye mashindano ya Dutch Grand Prix.