Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
31/08/2021 11:22:43
Mashindano ya Tennis ya US Open 2021 yanatarajiwa kufanyika katika uwanja wa kitaifa wa Tennis wa USTA Billie Jean King kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 12.
26/08/2021 15:44:44
Manchester City wanalenga kuwaongezea Arsenal dhiki ya mwanzo mbaya wa msimu timu hizo mbili zitakapokutana kwenye mechi ya ligi kuu ya England katika uwanja wa Etihad Jumamosi hii.
25/08/2021 15:11:18
Juventus FC itacheza dhidi ya Empoli kwenye ligi kuu ya Italia- Serie A katika uwanja wa Allianz mnamo Agosti 28.
25/08/2021 07:39:14
Mashindano ya mbio za pikipiki ya British MotoGP 2021 ambayo pia yanajulikana kama Monster Energy British Grand Prix yatafanyika eneo la Silverstone, England mnamo tarehe 29 Agosti.
20/08/2021 13:20:10
Mabingwa watetezi Atletico Madrid wanalenga kuendeleza mwanzo wao mzuri katika msimu wa 2021/22 wa Laliga watakapowakaribisha Elche kwenye uwanja wa Wanda Metropolitano jumapili.
20/08/2021 11:30:29
Timu za Udinese na Juventus zitafungua msimu wa ligi kuu ya Italia- Serie A zitakapokutana katika mtanange uitwao derby ya ‘michirizi nyeusi na nyeupe’ kwenye uwanja wa Dacia Arena mjini Udine Jumapili Agosti 22 jioni