Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

FADLU ATOA MASHARTI SIMBA WAKIJIANDAA NA AL MASRY CAF...

24/03/2025 15:34:19
Simba inakabiliwa na majukumu makubwa msimu huu, ikihitaji kushindania mataji matatu, Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la Shirikisho la CRDB, na kufika mbali kwenye michuano ya CAF.

WAARABU KUMNG'OA TSHABALALA SIMBA? WAWILI WATANGULIZA KWA OFA NONO...

17/03/2025 15:59:10
MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili wabebe ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu

KISA SAFARI YA MO DEWJI ULAYA ...AHMED ALLY AWATUPIA DONGO LA GIZANI YANGA

17/03/2025 15:54:20
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ameonekana kuwatupia kijembe watani wao wa jadi, Yanga
 

TAREHE MPYA DABI YA SIMBA, YANGA SHAKANI...RAGE AIBUKA NA HILI JIPYA

12/03/2025 15:49:07
WAKATI Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ikiwataka wadau wa soka kuwa watulivu kipindi hiki wakiendelea kusubiri taarifa...

KUHUSU UBINGWA LIGI KUU 24/25...FADLU MACHO YOTE MITA

27/02/2025 17:43:27
Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu.

HUU HAPA UKWELIA-Z KUHUSU DILI LA MASHINE HII YA KAZI KUTUA YANGA

27/02/2025 17:38:28
BEKI wa kazi Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba na Yanga