Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

BAADA YA KUMPIGA MTU 5 JUZI...KOCHA YANGA APATA CHA KUZUNGUMZA....

27/01/2025 13:20:37
BAADA ya kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Copco FC na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema

BAADA YA KUISHIA MAKUNDI CAF...PACOME ASHINDWA KUJIZUIA YANGA

27/01/2025 13:03:45
Baada ya kubeba Ngao ya Jamii, huku Yanga ikishindwa kufikia malengo ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, Pacome amesema hawatakubali tena kuona wanawaumiza mashabiki

PACOME, YAO NA DUBE WATENGWA YANGA.....RAMOVIC AWAPIGA 'MKWARA WA KUFA'

27/01/2025 11:39:50
Yanga itaanza mechi za duru la pili la Ligi Kuu Bara kwa kula kiporo dhidi ya Kagera Sugar wikiendi ijayo kabla ya kucheza mechi nyingine ndani ya Februari na kusubiri kuja kuvaana na watani wao, Simba katika Dabi ya Kariakoo itakayipigwa Machi 8, likiwa pambano la kwanza
 

BAADA YA KUFUZU KIBABE KWENDA 8 BORA CAF...HILI HAPA NENO LA MO DEWJI KWA SIMBA

22/01/2025 16:49:17
Wakati huo huo, kikosi cha Simba kimepewa mapumziko ya siku nne, baada ya hapo kinatakiwa kurejea kwa ajili ya mchezo wa Kombe la FA, pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara
 

PAMOJA NA KUONGOZA LIGI...FADLU AVUNJA UKIMYA SIMBA...ATAJA MASTAA ANAOWATAKA

02/01/2025 00:28:58
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, anatarajia kwenda kukaa na viongozi

HAYA SASA YANGA MSHINDWE WENYEWE TU...REFA MECHI NA MAZEMBE NI

02/01/2025 00:24:46
Takwimu za mwamuzi Heeralall zinaonyesha amechezesha mechi 20 za CAF ngazi ya klabu ambapo kati ya hizo 15 timu zilizocheza zikiwa nyumbani zilishinda.