Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
17/05/2024 16:09:08
Taarifa za uhakika zilizotufikia ni kuwa baadhi ya wachezaji mikataba yao imefikia ukingoni akiwemo Kipa (Ayoub) ambaye ameridhia kuendelea kusalia ndani ya Simba
19/04/2024 15:49:32
ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Barbara Gonzalez na Sued Mkwabi wametajwa mmoja wapo huenda akaja kuchukuwa nafasi ya Mwenyekiti
19/04/2024 11:49:44
Katika mchezo wa kesho Yanga watakuwa wenyeji wa mchezo huo baada ya Simba kuwa mwenyeji katika mchezo wa mzunguko wa kwanza na kukubali kichapo cha mabao 5-1
17/04/2024 11:02:39
Liverpool wanapania kuimarisha ndoto zao za kushinda taji la ligi kuu England watakapokabiliana na Fulham ugani Craven Cottage Jumapili Aprili 21.
12/04/2024 15:09:07
Simba SC imeelekeza nguvu kwa sasa katika Ligi Kuu huku Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha akiachiwa kazi ya kuanza kusuka upya kikosi kwa msimu ujao
12/04/2024 14:59:48
Real Mallorca watamenyana na Real Madrid kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania mnamo Aprili 13 ugani Estadi Mallorca Son Moix wakiwa na lengo la kuzima ubabe wa Los Blancos.