Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/04/2024 17:32:38
Kwenye mchezo huo Young Africans walifungwa kwa mikwaju ya Penati 3-2 kufuatia sare ya bila kufungana dakika 90 za mchezo huo katika Uwanja
04/04/2024 14:43:58
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza timu hiyo iliwakosa Pacome, Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Attohoula kwa sababu ya kuwa majeraha na kuukosa mechi hiyo uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kwa timu zote
25/03/2024 13:37:47
Chama aliyekuwa amesimamishwa na uongozi kwa tuhuma za utovu wa nidhamu sambamba na kiungo Nassor Kapama aliyepo Mtibwa Sugar kwa sasa, tangu amerejea kwenye fainali za Afcon 2023 alipoenda na timu ya taifa ya Zambia na kuishia makundi
25/03/2024 11:49:58
Prince Dube ameendelea kuzivuruga Simba na Yanga. Mashabiki wa klabu hiyo wamegawanyika kwa sasa baada ya kuibuka kwa taarifa nyota huyo
16/03/2024 10:18:41
Simba SC imepangwa kukutana na Al Ahly katika mchezo wa Robo Fainali utakaopigwa Ijumaa (Machi 29), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
05/03/2024 11:03:17
KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amesema siri kubwa anayoambiwa na Kocha Abdelhak Benchikha anamuamini anatakiwa kupambana na kufuata yale aliyompa katika uwanja wa mazoezi