Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
23/02/2024 15:25:54
Manchester United wanapania ushindi wa tano mfululizo kwenye ligi kwa mara ya kwanza ndani ya miezi 13 watakapowakaribisha Fulham ugani Old Trafford Jumamosi Februari 24.
22/02/2024 17:00:50
Jumamosi (Februari 24) Simba SC itashuka dimbani nchini Ivory Coast kucheza mechi yao ya Mzunguuko wa tano dhidi ya Asec Mimosas ikiwania nafasi ya kufuzu hatua
22/02/2024 09:25:18
Yanga inahitaji ushindi wa idadi kubwa ya mabao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, watakaocheza Jumamosi hii uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam
19/02/2024 13:39:47
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameshusha presha, na kusema sasa ana matumaini makubwa ya kufanya vyema katika mechi zinazofuata baada ya kurejea
19/02/2024 13:18:32
Kikosi cha Young Africans kimeanza maandalizi ya kuikabili CR Belouizdad ya Algeria katika mchezo wa Raundi ya Tano wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika
09/02/2024 16:01:11
BAADA ya ushindi na kurejea kileleni kwa alama 34, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ana matarajio...