Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
02/01/2025 00:19:19
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe alithibitisha kwa kusema kuwa, baada ya kukaa nje kwa michezo kadhaa, wachezaji hao watatu wamerejea uwanjani kufanya mazoezi
02/01/2025 00:08:46
Mpanzu ni miongoni mwa usajili uliofanywa kipindi cha dirisha dogo na kucheza mechi tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara na Juzi wamefanikiwa kupata kibali cha kumtumia
20/12/2024 11:01:46
RAIS wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema anatamani kuiona Tanzania ikifika fainali ya michuano ya kombe la Mataifa
20/12/2024 10:59:50
KLABU za Simba, Yanga na TP Mazembe zimetajwa kupeleka ofa katika klabu ya Fountain Gate kwa ajili ya kuhitaji nyota wa timu hiyo katika dirisha dogo
11/12/2024 21:21:31
Tetesi zinadai Simba huenda ikamsajili straika Mganda, Denis Omendi mwenye miaka 30 kutoka Klabu ya Kitara FC ya Uganda, ili kuongeza nguvu safu hiyo ambayo ina Mcameroon, Leonel Ateba na Steven Mukwala pia kutoka Uganda
06/12/2024 21:13:54
WACHEZAJI wa Yanga wamekiri kuwa walikuwa kwenye wakati mgumu baada ya kupoteza michezo mitatu mfululizo