Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
17/11/2021 11:55:17
Inter Milan watakabiliana na SSC Napoli katika mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu ya Italia kwenye uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza Novemba 21.
16/11/2021 08:39:18
Wales itapambana na Belgium katika mechi ya kufuzu kombe la dunia 2022 ya kundi E Novemba 16.
12/11/2021 09:35:39
Mbio za pikipiki maarufu kama MotoGP za Valencia 2021 zitang’oa nanga mwezi Novemba tarehe 14 Valencia Uhispania. Mbio hizo pia zinaitwa The Valencian Community Motorcycle Grand Prix.
12/11/2021 09:29:38
Jumamosi ya Novemba 13 2021, Memphis Grizzlies wataialika Phoenix Suns kwenye mechi ya NBA msimu wa kawaida katika uwanja wa FedExForum ulioko Memphis Tennessee. Mechi inatarajiwa kuanza saa tisa asubui majira ya Afrika ya kati.
10/11/2021 14:26:08
Ureno itakuwa na lengo la kuongoza kundi A mara tena watakapochuana na Jamhuri ya Ireland katika mechi ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 Alhamisi hii.
10/11/2021 14:11:20
Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton anapania kushinda taji la tatu la mbio za langalanga za Brazil kwa mara ya tatu sasa Novemba 14.