Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 FIFA World Cup qualification
Group Stage fixture
Ireland vs Portugal
Aviva Stadium
Dublin, Ireland
Thursday, 11 November 2021
Kick-off is at 22:45
Ureno itakuwa na lengo la kuongoza kundi A mara tena watakapochuana na Jamhuri ya Ireland katika mechi ya
kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 Alhamisi hii.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
The Selecao watakutana na Ireland ugenini kabla ya kumenyana na Serbia nyumbani katika mechi za kufuzu kombe la duania. Serbia wanawazidi Ureno kwa alama moja lakini wamecheza mechi moja zaidi ya Ureno. Ili kufuzu kushiriki mashindano hayo yatakayoandaliwa Qatar mwaka kesho, Ureno itatakiwa kushinda moja kati ya mechi mbili zilizosalia.
Mwanzoni mwaka huu, Ureno iliponea chupu chupu kupigwa na Ireland ambao tayari wamekwisha ondolewa katika mashindano hayo. Ireland walikuwa karibu sana kufuzu lakini nyota Cristiano Ronaldo akafunga mabao mawili ya haraka dakika za mwisho na kudidimiza matumaini ya taifa la Ireland.
"Ni miongoni mwa wachezaji wenye uwezo wa kufunga magoli kama hayo katika ulimwengu wa soka. Uwezo wake unajulikana kote,” aliiambia Sky Sports News kiungo wa Ireland Josh Cullen.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Tulifanikiwa kuzuia kwa takriban dakika 89 lakini hiyo haikutosha. Pengine tungemakinika kwa dakika 95 tungefua dafu. Hilo ndilo lengo letu Alhamisi hii.
"Tulikuwa na mchezo mzuri sana na huu ndio wakati mwafaka wa kupata matokeo kutokana na mchezo mzuri. Tulicheza mchezo wa kwanza vizuri na tunataka kucheza hivyo hivyo kama sio zaidi mchezo unaofuata,” aliongeza.
Matokeo baina ya timu hizi mbili:
Mechi: 14
Ireland: 4
Portugal: 8
Sare: 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.