Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 FIFA World Cup Qualifier
Group E
Wales v Belgium
Cardiff City Stadium
Cardiff, Wales
Tuesday, 16 November 2021
Kick-off is at 22h45
Wales itapambana na Belgium katika mechi ya
kufuzu kombe la dunia 2022 ya kundi E Novemba 16.
Timu hizi zilikutana kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1990 na hii itakuwa mara ya 13 kukutana.
Katika mechi hizi, Belgium wameshinda mata tano, Wales mara nne na kutoka sare mara tatu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wales walitoka sare ya 0-0- kwenye mechi yao ya kufuzu iliyochezewa nyumbani dhidi ya Estonia Septemba katika uga wa Cardiff stadium.
The Dragons wameshinda mechi moja na kutoka sare mechi moja katika mechi mbili za kufuzu kombe la dunia walizochezea nyumbani.
“Gareth [Bale] yuko katika hali nzuri. Sisi pamoja na madaktari tunamuona yuko katika hali nzuri kiafya,” alisema kocha wa Wales Robert Page ambaye anaonekana kuwa na mbinu za kuishinda Belgium.
“Nilikuwa na mazungumzo naye Jumamosi na yupo tayari. Anafanya kila awezalo kuwa asilimia mia kiafya. Kwa sasa hajaanza mazoezi kikamilifu lakini kuna wiki moja zaidi ya kujiandaa.
“Itatubidi kufuata maagizo na mpango wowote utakaowekwa kwa ajili ya Gareth kwa sababu tunamuhitaji. Mahusiano yake na mkufunzi wake na vile vile madaktari wake huko ni mzuri kama ilivyo kwetu sisi. Tulipanga kuwa na mazungumzo. Cha msingi ni kuaminiana.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Katika mechi ya kufuzu ya Septemba 8, Belgium walipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Belarus wakiwa ugenini.
Hadi kufikia sasa, Belgium hawajashindwa ugenini katika mechi za kufuzu huku wakiandikisha ushindi mara kumi na mbili na sare moja.
Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa Machi 24 2021.
Belgium walishinda mechi hiyo ya kufuzi kombe la dunia kwa magoli 3-1 ugani King Power at Den Dreef Stadion in Heverlee.
Takwimu za matokeo baina ya timu hizi mbili
Mechi - 12
Wales - 4
Belgium - 5
Sare - 3
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.