Inter na Napoli kutifua kivumbi


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 Italian Serie A

Matchday 13

Inter Milan v SSC Napoli 

Stadio Giuseppe Meazza 
Milano, Italy 
Sunday, 21 November 2021
Kick-off is at 20h90
 
Inter Milan watakabiliana na SSC Napoli katika mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu ya Italia kwenye uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza Novemba 21. 
 
Kwenye mechi ya ligi iliyochezwa Novemba 7, Inter Milan wakiwa ugenini walilazimisha sare ya 1-1 dhidi ya wapinzani wao wa jadi AC Milan.  
 
Kufuatia matokeo hayo, Inter hawajapoteza mchezo wowote wa ligi kati ya minne iliyopita huku wakiambulia ushindi mara mbili mfululizo na sare mbili. As a result, Inter are unbeaten in their last four matches in this competition having recorded two consecutive victories and two draws.

Arturo Vidal
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwa mechi 22 sasa, Inter Milan hawajapoteza mchezo hata mmoja ya ligi wakiwa nyumbani huku wakirekodi ushindi mara 19 mfululizo na kupata sare 3. 
 
“Baada ya mchezo huo, tulijivunia jinsi tulivyoonyesha uwezo wetu mkubwa na pia umoja wetu,” mlinzi wa Inter, Milan Skriniar alisema baada ya kulazimisha sare na AC Milan. 
 
"Wapinzani wana kila sababu ya kutuogopa. Tulicheza mchezo nzuri kama tulivyocheza dhidi ya timu nyingine kubwa. Tunachotakiwa sasa ni kufunga magoli zaidi kutokana na nafasi tunazo tengeneza. 
 
"Tunachohitaji ni kuongeza ufanisi kidogo. Tumekuwa na mechi nzuri hivi karibuni. Tumekuwa na mfumo mzuri na mchezo wetu umeimarika pia.” 

David Ospina
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwingineko, Napoli wakiwa nyumbani walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Hellas Verona katika mchezo wa ligi wa Novemba 7. 
 
Katika michezo 21 ya ligi, Napoli, maarufu kama Little Donkeys wamepata ushindi mara 16 na kutoa sare 5. 
 
Vile vile, Napoli hawajapoteza mechi yoyote ya ligi ugenini kati ya kumi zilizopita huku wakipata ushindi mara 9 na kutoa sare 1. 
 
Mara ya mwisho Inter na Napoli kukutana ilikuwa katika  mchezo wa  ligi Aprili 18 2021. 
 
Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 Inter wakiwa nyumbani Stadio Giuseppe Meazza. 
 

Takwimu baina ya timu hizi mbili katika michezo mitano ya mwisho ya ligi

 
Mechi - 5
Inter - 3
Napoli - 1
Sare - 1


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 
 

Published: 11/17/2021