Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021 FIA Formula One World Championship
2021 Brazilian Grand Prix
Brazil Interlagos Circuit
São Paulo, Brazil
Sunday, 14 November 2021
Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton anapania kushinda taji la tatu la
mbio za langalanga za Brazil kwa mara ya tatu sasa Novemba 14.
Mwaka 2019 katika mbio hizo za Brazilian Grand Prix, Hamilton alimaliza nafasi ya saba katika mojawapo wa matokeo mabaya ya nyota huyo kutoka Uingereza ya miaka ya hivi karibuni.
Katika mashindano mawili ya mwisho ya Formula One, Hamilton amemaliza katika nafasi ya pili katika mbio za langalanga za Marekani na Mexico, maarufu kama United States na Mexican Grand Prix.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Dereva wa RedBull Racing-Honda Max Verstappen alimaliza katika nafasi ya kwanza katika mbio za Brazilian Grand Prix huku mwendesha-mwenza Sergio Perez akimaliza katika nafasi ya tatu.
Baada ya kumpiku Hamilton kwenye taji la Formula One la 2021, Verstappen anaongoza katika jedwali la madereva la mwaka huu.
Kwa ujumla, Hamilton ndiye bingwa wa mbio hizi za langalanga lakini anachukua nafasi ya pili katika jedwali la madereva mwaka huu huku mwendesha-mwenza Valtteri Bottas akiwa katika nafasi ya tatu.
Ili kuwa na matumaini ya kutetea ubingwa wake, Hamilton mwenye uwezo na uzoevu mkubwa katika mbio hizi atapania kushinda Brazilian Grand Prix.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Nampongeza Max kwa ushindi wake. Alienda kasi sana zaidi yetu, hatungeweza kumfikia katika mbio za wikendi hii,” alisema Hamilton.
"Nilipambana iwezekanavyo na nashukuru kwa kupata nafasi ya pili baada ya upinzani mkali kutoka kwa Sergio. Nina uzoevu wa kutosha baada ya kuwa katika hali hii mara zaidi za moja kwa hivyo ilikuwa rahisi kushika nafasi ya pili.
"Hata hivyo, Sergio alionyesha uwezo wa gari lao kwa jinsi alivyonipa upinzani. Kazi yake ilikuwa nzuri sana. Tulijikakamua kadri ya uwezo wetu katika mbio za leo,” aliongeza.
"Jambo la msingi kwetu ni kutia bidii na kujiandaa iwezekanavyo kwa mbio zinazofuata kwa sababu najua watatukabili vilivyo wikendi mbili zinakuja.”
Mercedes wanaongoza kwa ujumla katika jedwali la mbio hizi huku wakifuatiwa kwa karibu na RedBull Racing-Honda katika nafasi ya pili na Ferrari wanafunga tatu bora.
Matokeo ya mbio za langalanga za 2019 Brazil, maarufu kama Grand Prix.
Mshindi: Max Verstappen - Red Bull Racing-Honda
Nafasi ya pili: Pierre Gasly - Scuderia Toro Rosso-Honda
Nafasi ya tatu: Carlos Sainz Jr - McLaren-Renault
Bashiri Motosport na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni soka, motorsport, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.