Hakimiliki ya picha: Getty Images
Miami Heat v Washington Wizards
2021-22 NBA Regular Season
Friday 19 November 2021
FTX Arena, Miami, Florida
Tip-off at 03:30
Washington Wizards watahitaji jitihada za ziada, watakapoikabili timu ya Miami Heat katika mchuano wa NBA ugani FTX Arena Miami Florida Ijumaa ya Novemba 19 2021 majira ya asubuhi. Mechi hiyo itang’oa nanga saa 03:30 asubui saa za afrika ya kati.
The Heat wanasuasua katika jedwali la Eastern Conference baada ya matokeo mseto, ikiwa ni pamoja na kichapo cha 112-109 dhidi ya Los Angeles Clippers wikendi iliyopita. Licha ya matokeo hayo, jambo la kutia moyo ni kwamba Kyle Lowry alionyesha mchezo mzuri kwa kuipa timu hiyo vikapu 25 kabla ya Miami kurudi kwa moto na kufunga vikapu vitano zaidi kwenye dakika za mwisho na kuibuka na ushindi.
"Nafurahiswa jinsi Kyle anavyojituma. Napenda ubabe wake uwanjani,” alisema mchezaji mwenzake Bam Adebayo. “Anaelewa na sehemu anapofaa kuwa nyakati tofauti. Imenipendeza sana.”
"Nilijaribu kwa njia zote kupata ushindi,” alisema Lowry. “Nikipata nafasi naitumia vilivyo kuisaidia timu yangu. Nilipambana vilivyo lakini kwa bahati mbaya tulipoteza mchezo.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Tofauti na The Heat, Wizards wamekuwa na matokeo mazuri na wako kileleni mwa Eastern Conference baada ya kuanza msimu vizuri. Wiki iliyopita, The Wizards waliibuka na ushindi wa 97-94 dhidi ya Cleveland Cavaliers ambapo mchezaji Kyle Kuzma alionyesha uwezo mkubwa na kuiokoa timu yake.
"Tulikuwa na bahati sana kushinda mchezo huo. Tulionyesha mchezo hafifu katika robo za kwanza za mechi hiyo,” alisema Kuzma. “Ni ushindi mkubwa kwetu licha ya mchezo hafifu na ni ishara ya uwezo wetu kustahimili makali.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Historia inaonyesha kwamba timu hizi zimekutana mara 132 katika msimu wa kawaida tangu mwaka 1988-89. Miami wameshinda mara 89 ukilinganisha na 43 kwa faida ya Washington. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa Februari 2021, ambapo The Heat walishinda 122-95 wakiwa nyumbani. Kendrick Nunn aliingia kama mchezaji wa akiba na kutia kimiani vikapu 25.
Takwimu baina ya Miami Heat na Washington Wizards katika msimu wa kawaida.
Mechi: 132
Heat: 89
Wizards : 43
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.