Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 13
Real Madrid v Rayo Vallecano
Estadio Santiago Bernabéu
Madrid, Spain
Saturday, 6 November 2021
Kick-off is at 23h00
Novemba 6 Real Madrid wataialika Real Vallecano Estadio Santiago Bernabeu katika mechi ya
ligi kuu ya Uhispania.
Madrid walipata ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Elche kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Oktoba 30.
Katika mechi tatu za ligi zilizopita, Madrid sasa wamerekodi ushindi mara tatu na kupata sare moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Madrid hawajashindwa mechi yoyote nyumbani kati ya kumi na nne zilizopita za ligi huku wakipta ushindi mara tisa na kwenda sare mara tano.
"Tulishambulia na kuzima mashambulizi ya wapinzani wetu kwa pamoja. Tumepata alama tatu muhimu ugenini,” alisema kiungo wa Madrid Lucas Vazquez baada ya ushindi huo dhidi ya Elche.
"Kila tulipopata nafasi ya kufunga tulifanya hivyo. Goli la kwanza la Vinicius Jr lilitupatia wepesi mwanzoni. Mchezo wetu ulirudi chini kidogo mwishoni lakini tumefurahi kupata alama zote tatu.
"Ni ushindi muhimu kwetu. Ni matunda ya ushirikiano baina ya wachezaji wetu. Mechi inakuwa nyepesi mnapofunga magoli. Tutaendelea kupambana vivyo hivyo ili kuzoa alama nyingi kadri ya uwezo wetu kabla ya mapumziko ya ligi.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Katika mechi yao ya hivi karibuni ya ligi, Vallecano walichukua alama tatu muhimu wakiwa nyumbani dhidi ya Barcelona kwa kushinda 1- 0 Oktoba 27.
Vallecano wameshinda mechi mbili za ligi na kupoteza mchezo mmoja kati ya mitatu ya mwisho waliyocheza. Mechi hiyo walipoteza mikononi mwa Real Betis Oktoba 24.
Kabla ya kuchuana na Madrid, Vallecano ambao wamepoteza mechi mbili za ligi za mwisho ugenini wataumiza nyasi dhidi ya Celata Vigo Novemba mosi.
Timu hizi kwa mara ya mwisho zilikutana Aprili 28 2019 katika mchezo wa ligi ambapo Vallecano iliwashangaza wageni wao Madrid kwa kuwafunga 1-0 katika uwanja wa Estadio de Vallecas.
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za mwisho za ligi
Mechi - 5
Madrid - 4
Vallecano - 1
Sare - 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.