Mbio za Langalanga mkondo wa Mexico 2021 kuanza


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021 FIA Formula One World Championship 

2021 Mexican Grand Prix

Mexico Autódromo Hermanos Rodríguez
Mexico City, Mexico 
Sunday, 7 November 2021
 
Mbio za magari ya langalanga za Mexico 2021 zitaandaliwa Mexico City ambayo ndiyo makao makuu na mji mkubwa wa Mexico Novemba 7.
 
Huu utakuwa ni msururu wa 18 wa mashindano ya langalanga ya mwaka wa 2021 ukiandaliwa kwenye mkondo wa Autodromo Hermanos Rodriguez.
 
Mbio za langalanga za Mexico za mwaka 2019 zilihairishwa kutokana na janga la Korona. Mbio za mwisho zilizoandaliwa mwaka 2020 ambapo Lewis Hamilton aliibuka na ushindi.
 
Lewis Hamilton
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Mbio za hivi maajuzi za msimu huu wa 2021 ziliandaliwa marekani na Oktoba 24 na kushindwa na Red BullRacing Honda kupitia mwendeshaji Max Verstappen.
 
Lewis Hamilton wa Mercedes na Sergio Perez walimaliza katika nafasi ya pili na ya tatu mtawalia.
 
Kwa ujumla, Verstappen anaongoza katika msururu wa 2021 wa mashindano haya baada ya kujizolea alama 287.5 huku zikiwa zimesalia mbio tano tu msimu huu.
 
Nafasi ya pili anachukua mwana-mercedes Lewis Hamilton kwa alama 275.5 na nafasi ya tatu anafunga mwendeshamwenza wa Mercedes Valtteri Bottas akiwa na lama 185.
 
Kuelekea mkondo wa Mexico, Perez yupo katika nafasi ya nne kwa alama 150.
 
Max Verstappen
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
“Zilikuwa mbio za kufana sana,” alisema mwendeshaji wa kampuni ya Ferrari aliye katika nafasi ya sita kwa ujumla baada ya kumaliza wa nne katika mbio za langalanga za Marekani.
 
 “Mbio hazikuwa nzuri sana kwangu lakini kwa upande mwingine ni matokeo mazuri kwa kampuni yetu.
 
"Tulijitahidi iwezekanavyo ikizingatiwa kwamba hatukutarajia kufanya vizuri. Kwa njia nzuri imetushangaza kidogo” aliongeza.
 
 “Marekebisho tuliyoyafanya yameboresha gari letu na imani ipo kwamba yataendelea kuimarisha. Matumaini yetu ni kumaliza mbio hizi katika nafasi nzuri ifikapo mwisho wa msimu huu.”
 
Kwa ujumla, kampuni ya Mercedes inaongoza jedwali, Red Bull Racing Honda na McLaren-Mercedes wanachukua nafasi ya pili na tatu mtawalia.
 

Matokeo ya 2019 ya mkondo wa Mexico

 
Mshindi: Lewis Hamilton - Mercedes
Nafasi ya pili: Sebastian Vettel - Ferrari 
Nafasi ya tatu: Valtteri Bottas - Mercedes 
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 11/04/2021