Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

MAXI NZENGELI ALIVYOIPELEKA YANGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

13/09/2023 13:55:19
Yanga ili wafanikiwe kutinga katika hatua ya makundi ya michuano hiyo wanatakiwa kuhakikisha wanaiondoa Al Merrikh

EPL - Wolverhampton Wanderers v Liverpool FC 

13/09/2023 13:19:56
Wolverhampton Wanderers na Liverpool watakabiliana kwenye mechi ya ligi ugani Molineux mnamo Septemba 16.
 

A-Z JINSI TANZANIA WALIVYOISHANGAZA DUNIA YA WAARABU MBELE YA ALGERIA

13/09/2023 11:16:00
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” chini ya kocha Adel Amrouche inafanikiwa kufuzu AFCON 2023 

AFCON - Algeria v Tanzania 

06/09/2023 15:32:25
Algeria itakuwa mwenyeji wa Tanzania katika mechi ya kufuzu shindano la mataifa bingwa barani Afrika (AFCON) 2023, mnamo Septemba 7 ugani 19 May 1956.
 

Betway becomes Global Betting Partner of Arsenal

01/09/2023 10:11:50
Leading global online betting and gaming brand Betway has today announced a deal to become the Official Global Betting Partner of Arsenal men’s team.

PHIRI ATANGAZA VITA KWA MABEKI LIGI KUU...

30/08/2023 16:59:34
Phiri ametoa kauli hiyo kufuatia bao lake la ushindi alilofunga juzi Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar, wakati Simba