Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
29/09/2023 16:58:44
Arsenal wanatarija kupata ushindi watakapokutana na Bournemouth katika mechi ya ligi ugani Vitality Jumamosi Septemba 30.
29/09/2023 16:55:08
Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amesema mwakani 2024 kupitia mashindano ya African Football League (Super League) Yanga itakuwa moja wapo ya timu zitakazoshiriki
26/09/2023 11:33:07
Hatma ya maombi ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) itajulikana Jumatano (Septemba 27) katika mkutano utakaofanyika jijini
22/09/2023 16:16:32
Manchester City wanatarajia kushinda mchezo wao wa sita wa ligi mfululizo tangu kuanza kwa msimu huu mpya watakapoialika Nottingham Forest ugani Etihad Jumamosi Septemba 23.
15/09/2023 15:45:39
BAADA ya michezo mitatu ya kirafiki kocha Mkuu wa timu Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho ameridhishwa na safu yake
15/09/2023 15:37:58
Yanga Septemba 16, mwaka huu, wanatarajiwa kushuka ugenini nchini Rwanda kuvaana na Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika