Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
18/08/2023 17:28:50
Simba imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuibuka na ushindi kwa mikwaju ya penati 3-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Fainali
18/08/2023 17:11:01
Manchester United watahitaji kuimarisha uchezaji wao iwapo kushinda mechi ya sita mfululizo dhidi ya Tottenham watakapokutana Jumamosi Agosti 19 Tottenham Hotspur Stadium kwenye mechi ya ligi.
15/08/2023 16:37:20
Mara ya kwanza kuifanya Simba Day, ilikuwa Agosti 8, mwaka 2009 viongozi na wanachama walikwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kutoa mashuka 100 katika wadi ya watoto.
15/08/2023 15:49:33
Mahlatse Makudubela 'Skudu' ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Kusini kucheza ligi kuu ya Tanzania Bara
11/08/2023 16:58:47
Baada ya kurejea kwenye ligi na Burnely, kibarua cha kwanza cha Vincent Kompany kitakuwa dhidi ya waajiri wake wa zamani Manchester City ugani Turf Moor Ijumaa Agosti 11 katika mechi ya ufunguzi wa ligi.
11/08/2023 08:44:49
Pata 100% ya pesa uliyoweka hadi Tsh 100,000 kama bonasi ya Michezo au Kasino. Pia unaweza kuchagua nusu kwa nusu yani, 50% ya pesa uliyoweka iwekwe kama Bonasi ya Michezo na 50% kama Bonasi ya Kasino hadi TSh 100,000.