Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

KUHUSU KUSHUSHA MASTAA WAPYA...MABOSI SIMBA WAPANGA KUFANYA KWELI

05/07/2023 17:00:08
Mabosi wa Simba SC wameweka wazi kuwa maboresho yatakayofanywa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24.

MKUDE ASHAURIWA AFANYE SHEREHE KUACHWA NA SIMBA

05/07/2023 16:35:48
Mchambuzi mahiri wa soka, Saleh Ally Jembe amesema Klabu ya Simba imemvumilia sana aliyekuwa mchezaji wake

PGA - 2023 John Deere Classic 

05/07/2023 16:32:13
J.T Poston anatarajia kuwa mchezaji wa gofu wa nne kushinda shindano la gofu la John Deere Classic mfululizo baada ya David Frost, Deane Beman na Steve Stricker.
 

PGA - 2023 Rocket Mortgage Classic

29/06/2023 18:07:07
Shindano la gofu la Rocket Mortgage Classic 2023 kung’oa nanga Detroit Golf Club, Detroit, Michigan, Marekani kati ya tarehe 29 Juni na tarehe 2 Julai.
 

WAMOROCCO WAIBANIA SIMBA DILI LA ADEBAYOR...MSIMAMO WAO HUU HAPA

29/06/2023 17:41:58
Simba imepanga kufanya usajili mkubwa wa wachezaji watakaowafikisha hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya
 

EPL - Wachezaji watano bora wa ligi ya Premier msimu wa 2022-23

26/06/2023 17:01:54
Msimu huu wa 2022-23 wa ligi ya Premier ulikuwa na panda shuka zake na hatimaye Manchester City wakatawazwa mabingwa.