Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
09/10/2023 10:37:16
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023
06/10/2023 16:34:58
Manchester City watakabiliana na Arsenal katika mechi ya ligi ugani Emirates mnamo Jumapili Oktoba 8.
29/09/2023 17:06:36
BEKI wa Simba, Hennock Inonga hatokuwa sehemu ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia ya kufuatia kushonwa nyuzi 13 katika
29/09/2023 16:58:44
Arsenal wanatarija kupata ushindi watakapokutana na Bournemouth katika mechi ya ligi ugani Vitality Jumamosi Septemba 30.
29/09/2023 16:55:08
Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amesema mwakani 2024 kupitia mashindano ya African Football League (Super League) Yanga itakuwa moja wapo ya timu zitakazoshiriki
26/09/2023 11:33:07
Hatma ya maombi ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) itajulikana Jumatano (Septemba 27) katika mkutano utakaofanyika jijini