Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

UHAKIKA HILI: USAJILI MPYA WA YANGA DIRISHA DOGO HUU HAPA

17/11/2023 10:26:31
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amependekeza nafasi tatu kuweza kuboresha kipindi cha usajili wa dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu.
 

NBA - Milwaukee Bucks v Dallas Mavericks

17/11/2023 09:53:58

The Milwaukee Bucks wanapania ushindi dhidi ya the Dallas Mavericks watakapokutana katika mechi ya NBA ya msimu kwenye ukumbi wa Fiserv Forum uliopo Milwaukee, Wisconsin, asubui ya Jumapili Novemba 19 2023.

Shuhudia Taifa Stars kibaruani AFCON Côte d'Ivoire

16/11/2023 09:48:09
Tanzania tayari imekata tiketi ya AFCON 2023 na tuko tayari kushuhudia uwezo wa mastaa wetu wa Taifa Stars ndani ya Côte d'Ivoire. Wakiwa katika maandalizi ya kupambana na magwiji wa Afrika, Betway iko tayari kukupa odds bomba za AFCON, ili kuongeza mzuka na msisimko wa mashindano.
 

SIMBA SC WAAMUA KUKOMAA NA MOSES PHIRI

11/11/2023 09:49:42
KLABU ya  Simba imewaondisha shaka wanachama na mashabiki wa Simba kuhusu straika wao Moses Phiri ikisema hatoenda popote, badala yake atabaki kuwa mchezaji wa timu hiyo
 

KUELEKEA KARIKOO DERBY...MAKOCHA SIMBA NA YANGA 'WAZUGANA'

11/11/2023 09:39:20
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa mara ya kwanza msimu huu 2023/24

EPL - Chelsea v Manchester City

11/11/2023 09:23:53
Manchester City watakabiliana na Chelsea kwenye mechi ya ligi ugani Stamford Bridge mnamo Jumapili Novemba 12.