Shuhudia Taifa Stars kibaruani AFCON Côte d'Ivoire


TAIFA STARS JUKWAANI AFCON

Tanzania tayari imekata tiketi ya AFCON 2023 na tuko tayari kushuhudia uwezo wa mastaa wetu wa Taifa Stars ndani ya Côte d'Ivoire. Wakiwa katika maandalizi ya kupambana na magwiji wa Afrika, Betway iko tayari kukupa odds bomba za AFCON, ili kuongeza mzuka na msisimko wa mashindano.
 

SHIRIKI SHINDANO LA AFCON TOKA BETWAY

Odds bomba na mechi sio zawadi pekee ambayo Betway imeandaa kwa mashindano haya makubwa ya Afrika. Wakati michuano ya AFCON ikiendelea, Betway itakua inaendesha shindano la Betway Sharp Shooter kwa mashabiki wote wa Tanzania kucheza na kufurahia.
 
Kuanzia Januari 10 hadi Februari 13, wachezaji wa Betway wanaweza bashiri 3,000 au zaidi katika michezo ya AFCON na kupata hadi tiketi 5 kwa siku kucheza Sharp Shooter. Unachotakiwa kufanya ni kumpeleka maboya mlinda mlango katika mikwaju ya penati na utajishindia Free bet (bashiri za bure) ama zawadi za pesa taslimu.
 
Betway imejiandaa kutoa zaidi ya TSh 56,000,000 kama zawadi katika kipindi cha shindano, tuanze mwaka kwa promosheni kubwa ya kibunda – ili ufurahie AFCON kwa furaha.
 

KAA TAYARI KUBASHIRIA TANZANIA KUPITIA BETWAY

Ratiba ya AFCON 2024 tayari imetoka na Tanzania itaanza michuano kwa kuminyana na Morocco Januari 17 katika kundi lenye Zambia na DR Congo. Hakikisha unatembelea www.betway.co.tz kuweka mkeka wako, furahia Sharp Shooter toka Betway na tusapoti Tanzania katika mapambano ya kuwa bora Afrika

Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
AFCON Côte d'Ivoire
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 11/16/2023