Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

PGA - 2023 Shriners Children's Open

13/10/2023 11:51:57
Shindano la gofu la The Shriners Children's Open 2023 linatarajiwa kung’oa nanga TPC, Summerlin huko Las Vegas, Nevada, Marekani kati ya tarehe 12 na 15 Oktoba.  
 

SIKU CHACHE BAADA YA MAKUNDI CAF KUTOKA...GAMONDI AITAKA AZAM FC KWANZA

11/10/2023 16:21:04
Gamondi amesema baada ya kuvuna alama tatu mbele ya Geita Gold FC sasa wanarejea uwanja wa mazoezi kufanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza na kujiandaa kwa mechi ijayo dhidi ya Azam FC.

BAADA YA KUJUA WAPINZANI WAKE CAF MBRAZILI SIMBA KAGUNA KIDOGO KISHA AKASEMA HILI

11/10/2023 15:55:37
Simba inapangwa pamoja na timu za Wydad Casablanca ya Morocco, ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Jwaneng Gallaxy ya Botswana.

SIMBA WAOMBA 'POO' BODI YA LIGI...MBRAZILI AMTAJA BOCCO CAF

09/10/2023 10:37:16
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023

EPL - Arsenal v Manchester City

06/10/2023 16:34:58
Manchester City watakabiliana na Arsenal katika mechi ya ligi ugani Emirates mnamo Jumapili Oktoba 8.
 

INONGA NDIO BASI TENA SIMBA....MADAKTARI WAFUNGUKA UHALISIA WA JERAHA LAKE...

29/09/2023 17:06:36
BEKI wa Simba, Hennock Inonga hatokuwa sehemu ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia ya kufuatia  kushonwa nyuzi 13 katika