Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

EPL - Everton v Tottenham Hotspur

02/02/2024 13:44:43
Tottenham watamenyana na Everton kwenye mechi ya ligi kuu England ugani Goodison Park Jumamosi Februari 3.  
 

BAADA YA KUFUNGA USAJILI...YANGA MPYA KWENDA NA GIA HII MPYA KIMATAIFA

02/02/2024 13:27:02
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mechi za kitaifa na kimataifa malengo

HII HAPA MASHINE YA KAZI ILIYOIKATAA YANGA NA KUKIMBILIA PESA ZA WAARABU

02/02/2024 11:53:53
Mshambuliaji wa Medeama ya Ghana, Jonathan Sowah, ambaye alikuwa akihusishwa na Yanga dirisha dogo la usajili...

SIMBA WATENGA BILIONI 25 ZA KUTIKISA AFRIKA MSIMU WA 2023/24

01/02/2024 11:48:16
UONGOZI wa Simba hatimaye umeweka wazi bajeti ya msimu mpya wa fedha wa klabu hiyo wa mwaka 2023/24 wakiwa...

KWA 'VIBE' HILI LA MASTAA WAPYA SIMBA...KAZI IPO LIGI KUU

29/01/2024 13:39:06
HUKO Simba mambo yamezidi kunoga baada ya mastaa wapya wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha dogo wote kutua kambini

EPL - Liverpool v Chelsea

24/01/2024 10:32:07
Liverpool wanatarajia kupata ushindi wa kwanza ndani ya michezo sita ya ligi dhidi ya Chelsea watakapocheza Januari 31 ugani Anfield, Jumatano.