Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

MNARA WA CHAMA WAANZA KUSOMA SIMBA...

25/03/2024 13:37:47
Chama aliyekuwa amesimamishwa na uongozi kwa tuhuma za utovu wa nidhamu sambamba na kiungo Nassor Kapama aliyepo Mtibwa Sugar kwa sasa, tangu amerejea kwenye fainali za Afcon 2023 alipoenda na timu ya taifa ya Zambia na kuishia makundi

HIVI NDIVYO DUBE ANAVYOZIGONGANISHA SIMBA NA YANGA...ISHU YAKE YAPAMBA MOTO

25/03/2024 11:49:58
Prince Dube ameendelea kuzivuruga Simba na Yanga. Mashabiki wa klabu hiyo wamegawanyika kwa sasa baada ya kuibuka kwa taarifa nyota huyo
 

KUELEKEA MECHI vs AL AHLY...KADUGUDA AIBUKA NA HILI JIPYA

16/03/2024 10:18:41
Simba SC imepangwa kukutana na Al Ahly katika mchezo wa Robo Fainali utakaopigwa Ijumaa (Machi 29), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

BAADA YA KUTUPIA JUZI...CHASAMBI AFUNGUKA KUWA NA HOFU SIMBA

05/03/2024 11:03:17
KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amesema siri kubwa anayoambiwa na Kocha Abdelhak Benchikha anamuamini anatakiwa kupambana na kufuata yale aliyompa katika uwanja wa mazoezi
 
 

EPL - Manchester United v Fulham

23/02/2024 15:25:54
Manchester United wanapania ushindi wa tano mfululizo kwenye ligi kwa mara ya kwanza ndani ya miezi 13 watakapowakaribisha Fulham ugani Old Trafford Jumamosi Februari 24.
 

WAWA AWASHTUA SIMBA NA HILI KUHUSU JANJA JANJA YA ASEC MIMOSAS

22/02/2024 17:00:50
Jumamosi (Februari 24) Simba SC itashuka dimbani nchini Ivory Coast kucheza mechi yao ya Mzunguuko wa tano dhidi ya Asec Mimosas ikiwania nafasi ya kufuzu hatua