Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
19/04/2024 11:49:44
Katika mchezo wa kesho Yanga watakuwa wenyeji wa mchezo huo baada ya Simba kuwa mwenyeji katika mchezo wa mzunguko wa kwanza na kukubali kichapo cha mabao 5-1
17/04/2024 11:02:39
Liverpool wanapania kuimarisha ndoto zao za kushinda taji la ligi kuu England watakapokabiliana na Fulham ugani Craven Cottage Jumapili Aprili 21.
12/04/2024 15:09:07
Simba SC imeelekeza nguvu kwa sasa katika Ligi Kuu huku Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha akiachiwa kazi ya kuanza kusuka upya kikosi kwa msimu ujao
12/04/2024 14:59:48
Real Mallorca watamenyana na Real Madrid kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania mnamo Aprili 13 ugani Estadi Mallorca Son Moix wakiwa na lengo la kuzima ubabe wa Los Blancos.
11/04/2024 17:32:38
Kwenye mchezo huo Young Africans walifungwa kwa mikwaju ya Penati 3-2 kufuatia sare ya bila kufungana dakika 90 za mchezo huo katika Uwanja
04/04/2024 14:43:58
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza timu hiyo iliwakosa Pacome, Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Attohoula kwa sababu ya kuwa majeraha na kuukosa mechi hiyo uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kwa timu zote