Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

KWA 'VIBE' HILI LA MASTAA WAPYA SIMBA...KAZI IPO LIGI KUU

29/01/2024 13:39:06
HUKO Simba mambo yamezidi kunoga baada ya mastaa wapya wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha dogo wote kutua kambini

EPL - Liverpool v Chelsea

24/01/2024 10:32:07
Liverpool wanatarajia kupata ushindi wa kwanza ndani ya michezo sita ya ligi dhidi ya Chelsea watakapocheza Januari 31 ugani Anfield, Jumatano.

MAYELE:- TANZANIA WAKIKAZA ...ZAMBIA WATAKUFA GOLI NYINGI SANA

19/01/2024 17:05:04
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya DR Congo Fiston Kalala Mayele amesema Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’...

EPL - Arsenal v Crystal Palace

19/01/2024 16:43:02
Arsenal watakabiliana na Crystal Palace kwenye mechi ya ligi kuu England Januari 20 Jumamosi ugani Emirates nia yao ikiwa kujiweka katika nafasi ya kupigania taji la ligi hiyo.
 

MOLOKO AONYESHWA MKONO WA KWA HERI YANGA....GAMONDI KABARIKI KIBOSI TU YANI

16/01/2024 16:48:07
Yanga imeachana na winga huyo baada ya kuitumikia kwa misimu miwili hivyo ameungana na Wacongo wenzake Djuma

KAZINI KWA 'TAIFA STARS' KUNA KAZI....WASIPOZINGATIA HAYA ITAKULA KWAO

16/01/2024 09:40:58
MUDA uliosubiriwa kwa shauku kubwa ni sasa na kila mmoja anaona namna hali halisi ilivyo nchini Ivory Coast kwenye...