Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
22/02/2024 09:25:18
Yanga inahitaji ushindi wa idadi kubwa ya mabao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, watakaocheza Jumamosi hii uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam
19/02/2024 13:39:47
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameshusha presha, na kusema sasa ana matumaini makubwa ya kufanya vyema katika mechi zinazofuata baada ya kurejea
19/02/2024 13:18:32
Kikosi cha Young Africans kimeanza maandalizi ya kuikabili CR Belouizdad ya Algeria katika mchezo wa Raundi ya Tano wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika
09/02/2024 16:01:11
BAADA ya ushindi na kurejea kileleni kwa alama 34, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ana matarajio...
09/02/2024 14:02:26
Manchester City watakuwa na nafasi ya kuchukua uongozi wa ligi japo kwa muda mchache watakapoalika Everton ugani Etihad mapema Jumamosi Februari 10.
05/02/2024 13:09:24
Yanga inayotumia viungo wake washambuliaji kuweza kupata mabao, huku Pacome Zouzoua akiwa kinara wao wa kufaynga ambaye Dodoma Jiji FC kuweka