Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/11/2023 09:49:42
KLABU ya Simba imewaondisha shaka wanachama na mashabiki wa Simba kuhusu straika wao Moses Phiri ikisema hatoenda popote, badala yake atabaki kuwa mchezaji wa timu hiyo
11/11/2023 09:39:20
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa mara ya kwanza msimu huu 2023/24
11/11/2023 09:23:53
Manchester City watakabiliana na Chelsea kwenye mechi ya ligi ugani Stamford Bridge mnamo Jumapili Novemba 12.
03/11/2023 18:16:30
Newcastle wanapania kukabili matokeo mabaya dhidi ya Arsenal kwenye ligi watakapokutana ugani St James' Park mnamo Jumamosi Novemba 4.
30/10/2023 11:50:20
Rais wa Shirikisho Wallace Karia alisema anaeapongeza Sandalans kwenda kwa muda kupatikana na jezi kabla ya timu zetu hazijaanza mchakato wa mashindano.
27/10/2023 15:53:28
Simba wanakuwa wenyeji uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakiwakaribisha Ihefu FC ambao hivi karibuni...