NBA - Milwaukee Bucks v Dallas Mavericks


Hakimiliki ya picha: Getty Images


2023-24 NBA

Regular Season

Milwaukee Bucks v Dallas Mavericks

Fiserv Forum

Milwaukee, Wisconsin

Jumapili, Novemba 19 2023.

02:00am
 

The Milwaukee Bucks wanapania ushindi dhidi ya the Dallas Mavericks watakapokutana katika mechi ya NBA ya msimu kwenye ukumbi wa Fiserv Forum uliopo Milwaukee, Wisconsin, asubui ya Jumapili Novemba 19 2023.
 

Takwimu baina ya timu hizi

Timu hizi zimekutana mara 83 katika mechi za misimu ya NBA tangu mwaka 1980 huku Milwaukee ikishinda mara 45ukilinganisha na mara 38 kwa faida ya Dallas.
 

Mchezo wa hivi karibuni

Mechi ya hivi karibuni ya msimu baina ya timu hizi mbili ilikuwa Desemba 2022 ambapo the Bucks waliibuka na ushindi wa 106-105 ugenini dhidi Dallas huku Giannis Antetokounmpo akichangia alama 28 katika mchezo huo.
 

Wachezaji muhimu

Giannis Antetokounmpo na timu yake ya Milwaukee walipoteza mechi yao ya NBA dhidi ya the Indiana Pacers wikendi iliyopita ila mchango wake kwenye mechi hiyo ulikuwa dhahiri kwa alipata alama 54 na atakuwa na ari kubwa kusaidia katika ushindi wa timu yake.

Kwa upande mwingine, Dallas wataweka matumaini yao kwa mchezaji wao mahiri Luka Doncic, aliyechangia alama 44 katika ushindi wao wa 144-126 dhidi ya the Los Angeles Clippers huku akiendeleza mshikamano wao wa faida na mchezaji mwenza Kyrie Irving aliyechangia alama 27 vile vile kwenye mechi hiyo.
 

Nukuu

Kocha mkuu wa Bucks Adrian Griffin amesema ni jukumu lake kuhakikisha waamuzi wanamlinda mchezaji wake nyota Giannis Antetokounmpo kwa hali na mali hata kama itapelekea yeye kufukuzwa kwenye eneo la ufundi kama iliyotokea katika mechi yao na  Indianna Pacers wikendi iliyopita.

“Nilihisi kuwa Giannis alikuwa anachezewa rafu sana na niliyasema,” Graffin alisema. “Nitachukua tahadhari katika matamshi yangu wakati ujao. Ni binadamu mwenye hulka nzuri na hapendi kulalamika. Anawaheshimu sana waamuzi. Ni jukumu langu kuhakikisha analindwa.”

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway

Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidiBashiri popote
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 11/17/2023