Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

KUHUSU HATMA YAKE NA YANGA...BANGALA AVUNJA UKIMYA

26/06/2023 16:52:24
Mchezaji wa klabu ya soka ya Yanga Yannick Litombo Bangala amethibitisha kwamba bado anayo nafasi kubwa ya kuendelea kusalia...

 

Moto GP - 2023 Dutch TT Assen

23/06/2023 18:36:40
Francesco Bagnaia anatarajia kuwa mwendesha pikipiki wa kwanza kushinda mbio za Dutch TT Assen mara mbili mfululizo tangu Valentino Rossi kufanya hivyo mwaka 2005 na 2004. 
 

PGA - 2023 Travelers Championship 

23/06/2023 18:25:19
Shindano la gofu la 2023 la Travelers Championship linatarajiwa kufanyika TPC, River Highlands, Cromwell, Connecticut, Marekani kati ya tarehe 22 na 25 Juni.
 

ZA NDAAANI...SIMBA NA ADEBAYOR MAMBO NI BAM'BAM

21/06/2023 17:21:22
Mabosi wa Simba SC wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo Mshambuliaji kutoka Niger Victorien Adebayor muda mchache kabla ya kuivaa Taifa Stars juzi Jumapili (Juni 18).
 

Kwangua na Ushinde

21/06/2023 10:24:01
Wakati ligi nyingi zikiwa zimemalizika na nyingine zikielekea ukingoni, Betway imekuja na promosheni mpya kwa wateja wa kasino itakayokupa nafasi ya kushindia zawadi na bonasi hadi TSh 100 miliioni na mchongo huo ni – Kwangua na Ushinde.
 

Betway Kukuza Soka la Tanzania Kuanzia Ngazi ya Mtaa

15/06/2023 15:32:57
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya kimataifa, Betway Tanzania imezindua rasmi programu ya kutoa vifaa vya michezo kwa timu za soka za mtaani.