Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
14/06/2023 17:33:33
Al Ahly imemuweka sokoni wing wake Jose Miquissone akiuzwa dola 250,000 (Sh 590 milion).
14/06/2023 17:15:38
Tanzania watakuwa mwenyeji wa Niger katika mechi ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa barani Afrika (AFCON) 2023 mnamo Juni 18 mjini Dar es Salaam
09/06/2023 09:40:57
BAADA ya kufanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kuwa mali rasmi ya Azam FC, ameahidi kufanya makubwa ndani ya kikosi cha timu yake hiyo mpya kwa msimu ujao wa mashindano.
09/06/2023 09:11:32
Manchester City watamenyana vikali na Inter Milan kwenye fainali ya kombe la klabu bingwa barani ulaya Ataturk Olympic Stadium mnamo Jumamosi Juni 10.
08/06/2023 17:29:07
Mchezaji nambari moja wa tenisi duniani upande wa wanaume Carlos Alcaraz anapania kuingia fainali yake ya sita mwaka huu wa 2023 atakapokutana na Novak Djokovic kwenye nusu fainali ya shindano la French Open Ijumaa Juni 9.
01/06/2023 17:16:17
Villarreal CF na Atletico Madrid watamenyana vikali katika mechi ya ligi kuu Uhispania Juni 4 ugani Estadio de la Cerámica.