Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Bastianini alilia mazingira bora Argentine GP

01/04/2022 14:43:14
Bastianini wa Gresini anapania kuendeleza ushindi katika mbio za pikipiki za Argentine Grand Prix, raundi ya tatu itakapong’oa nanga Jumapili Aprili 3.
 

Cavs wapania ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Knicks

01/04/2022 14:35:24
The Cleveland Cavaliers watapania kuendeleza msururu wao wa matokeo mazuri watakapochuana na New York Knicks katika ukumbi wa Madison Square Garden jioni ya Jumamosi tarehe 2 Aprili.
 

Spieth apania kutetea taji la Valero Texas Open

01/04/2022 14:17:25
Jordan Spieth anapania kutetea taji la shindano la gofu la Valero Texas Open kwa mafanikio kule TPC San Antonio na kujiunga na wachezaji wakubwa wa gofu.
 

Barcelona na Sevilla kuchuana katika mechi ya La Liga

29/03/2022 10:54:45
FC Barcelona na Sevilla FC watamenyana katika mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Camp Nou, Aprili 3.
 

Juventus na Inter katika Debi ya d'Italia

29/03/2022 10:08:44
Juventus FC na Inter Milan watamenyana katika mechi ya ligi kuu nchini Italia ugani Allianz Stadium mnamo Aprili 3.
 

The Reds kuwashinikiza zaidi City

29/03/2022 09:37:16
Liverpool watakuwa na nafasi ya kuongoza jedwali la ligi ya Premier watakapoialika Watford ugani Anfield Jumamosi Aprili 2 katika mechi ya ligi.