Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Bucks waishinikiza The Heat

07/04/2022 16:38:37
The Milwaukee Bucks wanaonekana kujituma zaidi ili kushinda kwa mara ya pili mfululizo taji la ligi ya Eastern Conference watakapokutana na Boston Celtics Ijumaa ya Aprili 8. 
 

Citizens kupambana Reds katika mechi ya viongozi wa ligi

06/04/2022 11:59:01
Hatima ya ligi ya Premier msimu huu inaweza kuamuliwa wakati Manchester City watakutana na Liverpool ugani Etihad Jumapili Aprili 10.
 

Inter wanatazamia kumuweka kando Verona

06/04/2022 11:56:46
Inter Milan itapambana na Hellas Verona katika mechi ya ligi kuu nchini Italia mnamo Aprili 9 ugani Stadio Giuseppe Meazza.

Shindano la gofu la Masters 2022 kung’oa nanga

06/04/2022 11:47:09
Shindano la gofu la Masters 2022 linatarajiwa kuchezewa Augusta National Golf Club kati ya tarehe 7 na 10 Aprili.
 

Madrid wako tayari kusimamisha Getafe iliyoimarishwa

05/04/2022 16:18:05
Real Madrid watamwalika Getafe CF Estadio Santiago Bernabéu Aprili 9 katika mechi ya ligi kuu Uhispania, La liga.
 

Chelsea na Madrid kutoana kijasho

04/04/2022 15:48:38
Chelsea FC watakutana na Real Madrid kwenye mechi ya UEFA hawamu ya robo fainali mkondo wa kwanza, Aprili 6.