Bucks waishinikiza The Heat


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Milwaukee Bucks v Boston Celtics

2021-22 NBA Regular Season

Friday 8 April 2022
Fiserv Forum, Milwaukee, Wisconsin
Tip-off at 02:30  
 
The Milwaukee Bucks wanaonekana kujituma zaidi ili kushinda kwa mara ya pili mfululizo taji la ligi ya Eastern Conference watakapokutana na Boston Celtics Ijumaa ya Aprili 8. 
 
The Bucks and Celtics tayari wameshafuzu kushiriki mechi za mchujo na hadi kufikia sasa rekodi yao katika ligi inalingana, 49-30 huku zikiwa zimesalia mechi tatu msimu kukamilika. 
 
Miami Heat ina asilimia 0.03 ya ushindi dhidi ya Bucks kabla ya kukutana na Atlanta Hawks Jumamosi ijayo. 

Brooks Lopez
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
The Bucks walishinda taji la Central Division kwa mara ya nne mfululizo walipoishinda Chicago Bulls 127-106  kule Illinois Jumanne huku Brook Lopez akichangia alama 28. 
 
"Ni juhudi za kupigiwa mfano na kushangiliwa,” alisema kocha wa Milwaukee Mike Budenholzer. “Ni vigumu kushinda chochote katika ligi hii. Ni mambo tunayoyazungumzia kila mara jinsi ilivyo vigumu kushinda mechi. Kushinda taji kuna maana kubwa sana.” 
 
The Celtics walio katika nafasi ya pili walishinda 144-102 dhidi ya Washington Wizards, Massachusetts Jumapili huku Jaylen Brown akifunga vikapu 32 kwenye mechi ya mwisho ya msimu wa kawaida. 

Jaylen-Brown.jpg
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Brown amekuwa na wastani wa alama 23.7 msimu huu, akishindwa tu na Jayson Tatum wa Boston aliye na wastani wa alama 27.0. Mshambuliaji huyo amekiri kuwa anatarajia kuendeleza hali yake nzuri atakaposhiriki mechi za mchujo. 
 
"Najihisi vizuri. Mchezo wangu umeimarika. Naamini kuwa nitakuwa katika hali hii kwenye mechi za mchujo,” alisema. “Kuhakikisha kuwa nausoma mchezo vizuri na kufanya maamuzi mazuri. Leo nilifanikiwa kufanya hivyo na nimefurahi.” 
 

Takwimu baina ya Milwaukee Bucks na Boston Celtics, msimu wa NBA

Mechi played: 222
Bucks: 108
Celtics: 114
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 04/07/2022