Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
14/04/2022 15:36:18
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa Bologna FC katika mchezo wa ligi kuu ya Italia ugani Allianz Stadium Aprili 16.
13/04/2022 14:48:31
Manchester United wanapania kupata ushindi kwa mara ya tano mfululizo katika ligi dhidi ya Norwich watakapokutana Jumamosi Aprili 16. Ni katika juhudi ya kuokoa nafasi ya kumaliza nne bora.
12/04/2022 13:29:18
Sevilla FC watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ya Uhispania ugani Estadio Ramón Sánchez Pizjuán Aprili 17.
11/04/2022 13:18:31
Real Madrid, Atletico Madrid na Villarreal CF wana imani kufuzu na kuingia hawamu ya nusu fainali ya ligi ya UEFA watakaposhiriki mechi za mkondo wa pili wa robo fainali.
08/04/2022 15:20:33
Aleix Espargaro wa Aprilia anatarajia kuendeleza alipoachia wikendi iliyopita kwa kushinda mbio za pikipiki zitakazoandaliwa katika mkondo wa Americas Jumapili Aprili 10, baada ya kupata ushindi wa kwanza wikendi iliyopita.
07/04/2022 16:51:10
Lewis Hamilton ana imani kuwa ataibuka na taji kwa mara ya tatu katika mbio za Australian Grand Prix baada ya kushinda taji hilo mwaka 2008 na 2015.