Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
21/04/2022 16:49:12
Mbio za 2022 Portuguese Grand Prix zitang’oa nanga Portimão ambao ni mji uliopo wilaya ya Faro eneo la Algarve kusini mwa Ureno mnamo Aprili 24.
21/04/2022 16:26:55
Shindano la gofu la mwaka 2022 la Zurich Classic of New Orleans linatarajiwa kuchezewa TPC Louisiana iliyopo Avondale katika jimbo la Louisiana Marekani kati ya tarehe 22 na 25 Aprili.
20/04/2022 15:49:44
Manchester United wanapania kupata ushindi wa pili wa msimu katika ligi dhidi ya Arsenal watakapokutana Aprili 23 ugani Emirates Stadium, Jumamosi.
20/04/2022 15:37:27
Inter Milan watamwalika AS Roma ugani Stadio Giuseppe Meazza Aprili 23 katika mechi ya ligi kuu nchini Italia.
19/04/2022 15:18:37
Real Sociedad wanapania kukatisha msururu wa matokeo mazuri ya Barcelona watakapokutana kwenye mechi ya ligi mnamo Aprili 21 ugani Reale Arena.
14/04/2022 15:54:35
Shindano la gofu la RBC Heritage 2022 linitarajiwa kung’oa nanga katika uwanja wa Harbour Town Golf Links kwenye kisiwa cha Hilton Head jimbo la South Carolina Marekani kati ya tarehe 14 na 17 Aprili.