Inter kumenyana na Roma kwenye mchezo wa ligi


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 Italian Serie A

Matchday 34

Inter Milan v AS Roma 

Stadio Giuseppe Meazza 
Milano, Italy 
Saturday, 23 April 2022
Kick-off is at 19h00  
 
Inter Milan watamwalika AS Roma ugani Stadio Giuseppe Meazza  Aprili 23 katika mechi ya ligi kuu nchini Italia.
 
Inter Milan wakiwa ugenini waliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi Spezia FC kwenye mechi ya ligi iliyochezwa Aprili 15.
 
Inter Milan walikuwa kwenye msururu wa mechi saba za ligi bila kushindwa huku wakiandikisha sare 3 na unshindi mara nne katika mechi saba zilizopita.

Simone Inzaghi
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Vile vile, mabingwa hao watetezi wa ligi ya Italia hawajapoteza mchezo wowote katika mechi tatu za mwisho za ligi wakiwa nyumbani, wakiandikisha ushindi mara mbili na sare moja Stadio Giuseppe Meazza.
 
“Mchezo haukuwa rahisi lakini tulijikakamua. Mpinzani wetu wa leo amekuwa katika hali nzuri mechi zilizopita katika uwanja wao wa nyumbani na mashabiki wao wakiwashangilia sana msimu huu,” meneja wa Inter Simone Inzaghi alisema.
 
"Tulifahamu kuwa tulihitaji kuwa katika hali nzuri kabisa dhidi yao. Ushindi huu tuliuhitaji sana ili kuwa na mwendelezo wa matokeo mazuri. Spezia walimwangalia kwa ukaribu sana mchezaji Marcelo Brozovic kupitia mchezaji Viktor Kovalenko na Kevin Agudelo. 
 
"Hakan Calhanoglu often dropped back to give us another option there and played great, as did Nicolo Barella. He was a real menace for Spezia, always moving in between the lines.”

Tammy Abraham
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwingineko, Roma wakiwa nyumbani walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya US Salernitana kwenye mechi ya ligi ya Aprili 10 na watakuwa ugenini dhidi ya SSC Napoli Aprili 18.
 
Roma hawajapoteza mechi ya ligi katika michezo 11 iliyopita huku wakiandikisha sare tano na kushinda mechi sita.
 
Vile vile, Roma hawajapoteza mechi yoyote katika mechi tano zilizopita za ligi wakiwa ugenini, wakiandikisha ushindi mara tatu na sare mbili.
 
Mechi ya mwisho ya ligi baina ya Roma na Inter Milan ilikuwa mnamo Disemba 4 2021.
 
Inter walipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Roma katika mechi iliyochezewa Stadio Olimpico, uwanja wenye uwezo wa idadi ya mashabiki 72,698. 
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi.

Mechi - 5
Inter - 2
Roma - 0
Sare - 3
 

Ratiba ya Serie A mchezo wa 34

 
Aprili 23 Jumamosi
 
4:00pm - Torino FC v Spezia Calcio 
 
4:00pm- Venezia FC v Atalanta BC 
 
7:00pm- Inter Milan v AS Roma 
 
9:45pm- Hellas Verona v UC Sampdoria  

 
Aprili 24 Jumapili
 
13:30pm- US Salernitana v ACF Fiorentina
 
4:00pm - Bologna FC v Udinese Calcio 
 
4:00pm- Empoli FC v SSC Napoli
 
7:00pm- Genoa CF v Cagliari Calcio 
 
9:45pm- SS Lazio v AC Milan 

 
Aprili 18 Jumatatu 
 
9:45pm- US Sassuolo v Juventus FC 


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 
 
 

Published: 04/20/2022