Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 32
Sevilla FC v Real Madrid
Estadio Ramón Sánchez Pizjuán
Sevilla, Spain
Sunday, 17 April 2022
Kick-off is at 21h00
Sevilla FC watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika
mechi ya ligi ya Uhispania ugani Estadio Ramón Sánchez Pizjuán Aprili 17.
Wakiwa nyumbani, Sevilla waliibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Granada FC katika mchezo wa ligi wa Aprili 8.
Kabla ya mechi dhidi ya Granada, Sevilla walikuwa hawajashinda mchezo wa ligi katika michezo minne ya awali huku wakiandikisha sare tatu na kushindwa mara moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Sevilla hawajashindwa katika mechi 17 za ligi wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi mara 13 na sare 4 Estadio Ramón Sánchez Pizjuán.
Kwingineko, Madrid walipata ushindi wa 2-0 wakiwa nyumbani dhidi Getafe CF kwenye mechi ya Aprili 9.
Madrid hawajashindwa katika mechi mbili za ligi zilizopita ikiwa wameandikisha ushindi mara mbili mfululizo.
Vile vile, Madrid hawajashindwa katika mechi nne zilizopita za ligi wakiwa ugenini. Wameshinda mara tatu mfululizo na kupata sare moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Nafurahi sana kwa kupata ushindi, kufunga goli na kuisaidia timu. Sasa hivi tuko katika hali nzuri na tulifahamu Getafe watakuwa na upinzani mkali,” alisema nyota wa Madrid Lucas Vazquez.
"Ushindi huu ulikuwa mkubwa ili kuonyesha muendelezo wa matokeo mazuri kwa upande wetu. Tunashirikiana vizuri, tuna wachezaji wazuri na wanajituma sana wanapokuwa uwanjani. Inapendeza sana.”
“Siri ni kuwa na weledi wa kucheza. Kucheza pasi kwa uhakika na kutumia sehemu zote za uwanja vilivyo. Ulikuwa mchezo mgumu lakini tulifanya vizuri.”
Mchezo wa mwisho wa ligi baina ya Sevilla na Madrid ulikuwa tarehe 28 Novemba 2021.
Madrid walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla ugani in Estadio Santiago Bernabéu ambao ni uwanja mkubwa wa baadhi ya timu kubwa Ulaya baada ya Camp Nou na Westfalenstadion.
Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi
Mechi - 5
Sevilla - 0
Madrid - 4
Sare - 1
Ratiba ya La Liga mchezo wa 32.
Aprili 15 Ijumaa
10:00pm- Real Sociedad v Real Betis
Aprili 16 Jumamosi
3:00pm- Elche CF v Real Mallorca
5:15pm- Deportivo Alaves v Rayo Vallecano
7:30pm- Valencia CF v CA Osasuna
10:00pm- Getafe CF v Viillarreal CF
Aprili 17 Jumapili
3:00pm- Granada CF v UD Levante
5:15pm- Atletico Madrid v RCD Espanyol
7:30pm- Athletic Bilbao v Celta Vigo
10:00pm- Sevilla FC v Real Madrid
Aprili 18 Jumatatu
10:00pm- FC Barcelona v Cadiz CF
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.