Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
09/06/2023 09:11:32
Manchester City watamenyana vikali na Inter Milan kwenye fainali ya kombe la klabu bingwa barani ulaya Ataturk Olympic Stadium mnamo Jumamosi Juni 10.
08/06/2023 17:29:07
Mchezaji nambari moja wa tenisi duniani upande wa wanaume Carlos Alcaraz anapania kuingia fainali yake ya sita mwaka huu wa 2023 atakapokutana na Novak Djokovic kwenye nusu fainali ya shindano la French Open Ijumaa Juni 9.
01/06/2023 17:16:17
Villarreal CF na Atletico Madrid watamenyana vikali katika mechi ya ligi kuu Uhispania Juni 4 ugani Estadio de la Cerámica.
01/06/2023 17:03:15
SSC Napoli watakuwa wenyeji wa UC Sampdoria katika mechi ya ligi ugani Stadio Diego Armando Maradona mnamo Juni 4.
31/05/2023 13:12:18
Manchester City watamenyana na Manchester United katika mechi ya fainali ya kombe la FA mnamo Juni 3 Jumamosi ugani Wembley.
26/05/2023 13:47:21
Manchester United wanatazamia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Fulham watakapokutana kwenye mechi ya ligi ya kumalizia msimu mnamo Jumapili Mei 28.