Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

La Liga - FC Barcelona v Atletico Madrid 

21/04/2023 13:33:09
FC Barcelona itakabiliana vikali na Atletico Madrid kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Spotify Camp Nou Aprili 23.
 

NBA - Philadelphia 76ers v Brooklyn Nets 

14/04/2023 17:17:00
Philadelphia 76ers watacheza dhidi ya Brooklyn Nets katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu National Basketball Association (NBA) mnamo Aprili 15.
 

US PGA - RBC Heritage

14/04/2023 16:42:13
Shindano la gofu la RBC Heritage 2023 linatarajiwa kung’oa nanga kisiwani Hilton Head, jimbo la South Carolina kati ya tarehe 13 na 16 Aprili. 
 

EPL - West Ham United v Arsenal

12/04/2023 09:36:17
Viongozi wa ligi ya Premier Arsenal watakuwa na kibarua kigumu watakapoikabili West Ham London Stadium katika mechi ya ligi mnamo Aprili 16, Jumapili.

UCL - Real Madrid v Chelsea

11/04/2023 15:47:23
Chelsea wanatarajia kurejea kwa Frank Lampard kutawapa motisha watakapokutana na Real Madrid kwenye mechi ya robo fainali ya UEFA mkondo wa kwanza Jumatano Aprili 12 ugani Bernabeu.
 

NBA - Milwaukee Bucks v Memphis Grizzlies 

06/04/2023 18:34:22
Milwaukee Bucks na Memphis Grizzlies watamenyana vikali kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) Aprili 8.